skip to main |
skip to sidebar

2/05/2012 05:46:00 PM

Unknown
No comments
TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KAKA NGETA !
Katibu mkuu wa TFF Angetileh Osiah amepata nafuu na anaendelea vizuri pale kwenye Hospital ya Muhimbili! nimeongea nae hivi punde akiwa pale MOI na huenda kesho akatoka Hospitalini.
Inshaalah Tunakuombea upone haraka na urejee katika hali yako ya kawaida!
0 comments:
Post a Comment