Tuesday, April 3, 2012

RICK ROSS ASHINDA CASE YA KUMILIKI JINA RICK ROSS.

Rapper kutoka Maybach Music Rick Ross a.k.a Rozay
 ameshinda kesi iliyokua ikimkabili juu ya uhalali wa kutumia
 jina Rick Ross,.

Habari kutoka TMZ mahakama ya County Superior Los Angel
 ilifuta case hiyo iliyokua ikimshitaki Freeway Rick Ross kutumia
 jina kwamba sio jina lake. Hii sio mara ya kwanza Rick Ross
kutumia jina la mtu, mwaka jana alishtakiwa na Rapper aliyefahamika
kwa jina la Teflon Don baada ya kuita album yake ya mwaka 2010 Teflon Don.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine