Saturday, May 5, 2012

HILI NDIO GOLI BORA KATIKA MISIMU 20 YA PREMIERLEAGUE.




 Goli la Wayne Rooney la tik taka dhidi ya Manchester City msimu uliopita limeshinda kama goli bora kabisa tangu kuanza kwa Barclays Premier League - kwa maana ya msimu 20 iliyopita.

Bao hilo lilitangazwa juzi alhamisi jioni na chama cha waandishi wa habari wa soka katika chakula cha usiku jijini London.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine