Gwiji
la muziki nchini Marekani mwanadada Mariah alitia for a usiku wa Mei
mosi baada ya kupanda jukwaani na kivazi ambacho kilionesha kuchora
sehemu nyeti za mwili wake kitendo ambacho kiliwafanya mashabiki waache
kufanya kilichowaleta ukumbini hapo na kuanza kuchunguza maumbile ya
mwandada huyo. Hata alipokuwa jukwaani hapo yeye mwenyewe alipatwa na
aibu kwani kila dakika alionekana kukivuta kwa chini kivazi hiko ambacho
kilikuwa kikipanda chenyewe kuelekea juu ya mwili wake. Tukio hilo
lilitokea wakati mwanamuziki huyo akiwa anasherehekea kutimiza kwa mwaka
mmoja toka wazaliwe watotot wake mapacha Morocan na Monroe.
0 comments:
Post a Comment