Tuesday, October 2, 2012

PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA MELI MPYA YA AZAM MARINE YENYE UWEZO WA KUBEBA ZAIDI YA WATU 1000 NA MAGARI 200 YAWASILI NCHINI.


Meli ya Azam Marine inayoitwa Azam SeaLink 1 ikiwasili katika bandari ya Visawani  Zanzibar kwa mara kwanza.Sehemu ya Parking yenye uwezo wa kuingiza magari 200.Muonekano wa ndani wa Lounge ya kumpzikia wasafiri.Muonekano wa nje. (Picha na Omar Said wa Kampuni ya Bakheresa).

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine