EMMANUEL
OKWE KUSHOTO AKIPIMANA UBAVU NA FELIX ZUNZU WAKATI WA MAZOEZI YA KLABU
YA SIMBA KWA AJILI YA MCHEZO BAINA YA TIMU HIYO NA POLISI MORO SC KATIKA
LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA JIONI KATIKA UWANJA WA JAMHURI
MOROGORO.
DANIEL
AKUFF (KATIKATI) AKIWA AMENYANYUA DALUGA WAKATI AKIWANIA MPIRA DHIDI YA
AMRI KIHEMBA KULIA HUKU HARUNA SHAMTE AKIUPIGIA MAHESABU MPIRA HUO.

UHURU SELEMAN (16) AKITAFUTA NAMNA YA KUWATOKA WACHEZAJI WENZAKE MWINYI KAZIMOTO.
MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA WAKINGALIA MAZOEZI YA KLABU HIYO.
KIKOSI cha simba jana kilifanya mazoezi katika uwanja wa Jamhuri mjini
Morogoro nakuwa kivutio zaidi kwa wakazi wa Morogoro ambao walijitokeza
kwa wingi uwanjani hapo.
Simba ipo mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo dhidi ya Polisi Moro na ipo full kwa mchezo huo utakaopigwa leo
0 comments:
Post a Comment