
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiweka mchanga kaburini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa watoto wa marehemu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa ndugu wa marehemu.
Waziri Mkuu, Mizengo
PInda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mtunza Ikulu ya Arusha
(House keeper), Lucy Samillah katika ibada ya mazishi iliyofanyika
nyumbani kwa marehemu, Arusha Mjini Oktoba 31, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa mwangalizi wa Ikulu ya
Arusha (House Keeper), Lucy Samillah katika mazishi yake yaliyofanyika,
Arusha Oktoba 31, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mtunza Ikulu ya
Arusha (House Keeper), Lucy Samillah katika Mazishi yaliyofanyika
Arusha, Oktoba 31,2012.
(Picha na IKULU, Ofisi ya Waziri Mkuu)
chanzo cha habari: www.globalpublishers.info
0 comments:
Post a Comment