skip to main |
skip to sidebar

2/05/2013 07:48:00 PM

Unknown
No comments
Msanii
Buibui apata ajali weekend hii iliyopita, na kuvunjika mguu wa kulia na kuteguka
mguu wa kushoto.kwa hivi sasa amesharuhusiwa kutoka hospitali aliyokuwa
amelazwa, Muhimbili... pole sana
0 comments:
Post a Comment