Saturday, September 21, 2013

PICHA MBALIMBALI ZIKIMUONYESHA OMMY DIMPOZ AKIWA STUDIO ZA VOICE OF AMERICA


Mtangazaji wa VOA, Sunday Shomari akifanya mahojiano na Ommy Dimpoz.


Lary King wa VOA (katikati) akimweka kiti moto Dimpoz.
Dimpoz uso kwa uso na Lary King.
Ommy Dimpoz akipozi katika jengo la Voice of America 'VOA'.

Dimpoz kabla ya kufanya mahojiano na VOA.

Dimpoz na DMK wakiwa busy na simu zao.
KAMERA YA SWAHILI TV AMBAO NDIO WADHAMINI WA DIMPOZ USA TOUR ITAENDELEA KUKULETEA HABARI EXCLUSIVE ZA DIMPOZ AKIWA MITAANI USA. ENDELEA KUSIKILIZA SWAHILI RADIO ONLINE NAKUSOMA WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COM KUWEZA KUJISHINDIA FREE TICKETS.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine