Hivi unamfahamu mchizi aliyeimba black & yellow? Sasa pata full story yake ya maisha.
Unajua kuwa wiz kholfa ni jamaa moja ambaye amepitia maisha ya kiuni sana. Mchizi sas hivi amwachia ngoma yake mpya inayoitwa stonned humo ndani jamaa amezungumzia jinsi avyokuwa akipigwa sachi kila akitaka kuingia club kwasababu ya muonekano wake wa kiuni. Na amefunguka kuhusu media zinavyo wabania wasanii underground wanavyo taka kutoka! Daaaaaaah mchizi amefunguka vya kutosha kupitia hiyo ngoma kama vp utaisikia kupitia hapa mda siyo mrefu.
0 comments:
Post a Comment