Time hii nimepokea SMS kutoka kwa MDAU MMOJA WA HABARI ZA UDAKU ikisema kuwa msanii Linex. "amempoteza babu yake mida ya saa 21:22 jana". blog hii inakupa pole, sana na mungu akuongoze katika wakati huu mgumu. Mungu ailaze pema roho ya marehemu. AMEN
0 comments:
Post a Comment