Saturday, December 10, 2011

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAFANA JIJINI DAR

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imefanya sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete. Umati mkubwa wa watu umehudhuria sherehe hizo wakiwemo Marais na viongozi wa mataifa mbalimbali. Sherehe hizo zilizofana vilivyo zimefanyiwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.



Sehemu ya umati.

Wanajeshi wakionesha umahiri wa kucheza karate mbele ya mgeni rasmi.


Mzinga.

Kifaru chenye matairi ya chuma.
 Maloketi ya kutungulia ndege yakiwa yamebebwa kwenye lori.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine