Thursday, December 1, 2011

TRY YOUR BEST, HELP VENGU...



JAALIA KAMA UMETOA SADAKA KWA MUNGU, CHAKO KIDOGO ELEWA NI MUHIMU SANA KWA VENGU,
MSIKATE TAMAA, MARADHI YA VENGU SIO LAZIMA WEWE KUJUA KWA SASA ILA UHAI WAKE NI LAZIMA UOKOLEWE  KWA SASA.
MASTAA, WASANII, WANANCHI, WAZALENDO NA HATA SERIKALI  KAENI CHINI TAFAKARI HILI,
AU UTAKUJA KULIA SANA PALE ITAKAPOSOMWA RISALA YA UHAI WAKE KABURINI? ITAKUWA HUKUMSAIDIA INGAWA UTAONESHA HUZUNI SANA,

NINA UHAKIKA WATAMSIFIWA SANA KWANI HIYO NDIO DESTURI YETU (ALIKUWA MCHAPA KAZI, NI RAFIKI YETU, TULIKUWA TUNAMPENDA,TUPO NAWE KIROHO, WAKATI ULIKATAA KUWA NAWE KIMWILI NA KUMALIZIA MUNGU ALIKUHITAJI ZAIDI) ILA UKWELI  HUPENDI KUWA NAE MILELE.
MACHOZI MACHOZI MACHOZI MNAYOTOA PALE ICU UNAPOKWENDA KUMTIZAMA HAYATOSHI KUSEMA KUWA KWELI ETI UNAMJALI NA KUMSAIDIA KUMUWEZESHA YEYE KUPONA,?

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine