Thursday, February 2, 2012

CHEKA, MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF APRIL 28 DAR


Makamu mwenyekiti wa chama cha ngumi za kulipwa nchini, Madaraka Nyerere (kushoto), akiwaelekeza mabondia Francis  Cheka (kulia) na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa shirikisho la ngumi duniani (IBF) katika pambano la  raundi 12,   na litakalofanyika ukumbi wa PTA Saba Saba jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili mwaka huu.  Hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar.
Bondia Mada Maugo akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) katika hafla hiyo.
 

Bondia Francis Cheka (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu mkataba huo
(picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine