Friday, March 16, 2012

MWIGIZAJI KAJALA APELEKWA KUNYEA DEBEE SEGEREA!

Kajala akiwa chini ya Ulinzi wa polisi Mahakamani 


Ni kwamba jana mchana Mrembo huyo ambae aliwahi kuwa mpenzi wa zamani wa producer P FUNK MAJANI amepelekwa kwenye gereza la SEGEREA Dar es salaam kutokana na kesi inayomkabili yeye na mume wake.
Rafiki wa karibu wa KAJALA mwigizaji SINTAH amesema “nilichosikia ni kwamba alikua kaolewa na mwanaume ambae ana kesi na TAKUKURU kwa kutumia hela vibaya kwenye shirika la Umma ambapo Kajala amehukumiwa tayari lakini hukumu kubwa ambayo itaweka wazi ni miaka mingapi atakayohukumiwa Kajala inatolewa jumatatu march 19 2012”

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine