Monday, March 12, 2012

UGOMVI MZITO KWENYE MECHI YA YANGA NA AZAM JUMAMOSI 10/3/2012


Refa akikimbia kichapo baada ya kutoa kadi nyekundu nyingine kwa wachezaji wa Yanga ambao mpaka mpira unamalizika, walichapwa 3-1 na AZAM.
Baadhi ya viti vilivyovunjwa.
Baadhi ya mashabiki wa Yanga wanaodaiwa kuhusika na hizo fujo. (picha kutoka kwenye blog ya Dina Ismail - mamapipiro)
Ustaarabu haukuepo kabisa, mashabiki wa Yanga wanadaiwa kukojoa mpaka kwenye sehemu za kunawia mikono.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine