WACHEZAJI WA BARCA WAKIMUAGA KOCHA WAO KWA FURAHA BAADA YA KUIBAMIZA ESPANYOL MABAO MANNE.
Messi tena alikuwa hatari jana usiku akifikisha jumla ya mabao 72 ndani ya msimu mmoja - huku akifikisha mabao 50 kwenye La Liga. Sasa ana jumla ya magoli 251 katika mechi 327 alizoichezea Barcelona.


5/06/2012 06:28:00 PM
Unknown




0 comments:
Post a Comment