Goli la Wayne Rooney la tik taka dhidi ya Manchester City msimu uliopita limeshinda kama goli bora kabisa tangu kuanza kwa Barclays Premier League - kwa maana ya msimu 20 iliyopita.
Bao hilo lilitangazwa juzi alhamisi jioni na chama cha waandishi wa habari wa soka katika chakula cha usiku jijini London.


5/05/2012 07:34:00 AM
Unknown

0 comments:
Post a Comment