skip to main |
skip to sidebar
5/23/2012 06:21:00 AM
Unknown
No comments
Jose Mourinho amewakata maini Chelsea na Roman Abramovicha baada ya kusaini mkataba mpya na Real Madrid utakaoenda mpaka 2016.
The Special One, ambaye kwa siku za hivi
karibuni amekuwa akihusishwa na kurudi Chelsea alisaini mkataba wa
miaka minne in May 2010. Lakini kocha huyo raia wa Ureno amekubaliana
vipengele vipya katika dili hii mpya ya miaka miwili.
Mourinho ameiongoza kushinda Copa del
Rey katika msimu wake wa kwanza pale Bernebau na hivi karibuni ameleta
kikombe cha ubingwa wa La liga ambacho kilikuwa kimepotea machoni mwa
Madrid kwa muda mrefu kidogo.
0 comments:
Post a Comment