Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jaklaya Kikwete akizindua Blogu hii na Tovuti Rasmi vyote
vya Chama, hafla iliyofanyika kwenye Viwanja vya Makao Makuu ya CCM,
mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo (). Wanaomwelekeza ni Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye na Suleyman Mwenda ambaye ni Mkuu wa
masuala ya Teknolojia Mawsiliano, Idaya ya Mawasiliano na Umma Makao
Makuu ya CCM. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa,
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John
Chiligati na Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai. Tovuti ya CCM
ni www.ccm.or.tz kuiona Tovuti hiyo.
Nape akimweleza Rais Tovuti na Blogu vinavyofanya kazi za Chama
Nape
akimshauri jambo Rais Kikwete Kushoto ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed
Graib Bilal, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Sheni na Makamu Mwenyekiti
wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid KarumeRais Kikwete na Mwenyeji wake katika shughuli hiyo, Nape wakiingia kwenye eneo la uzinduzi huo
Nape akitoa maelezo mafupi kuhusu faida ya CCM kuwa na Tovuti Ramsi na Blogu
Katibu Mkuu Wilson Mukama akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM kuzindua tovuti na blogu hiyo
Kisha Nape akapanda jukwaani kuporomosha muziki na bendi ya Siper Melody, akapagawisha watu
Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma akimpongeza Nape kwa uhodari wa kucharaza gita.
Makongoro Nyerere ambaye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara akimpongeza
Watu wakajimwaya mwaya uwanjani
Miduara kwa sanaaaaaa
Baadhi ya wajumbe wa NEC wakisakata muziki
Mzee Mtandika akakumbuka enzi hizo
Rais akiondoka ukumbini
BYEEEEEEEE!!!!! Rais akasema
0 comments:
Post a Comment