Wasanii mbalimbali wa Bongo Movie hivi karibuni walijiachia katika visiwa vya Zanzibar kwenye uzinduzi wa filamu ya ’Toba’ ambayo imeandaliwa na msanii mwenzao, Issa Mussa ‘Cloud’, uliofanyika katika Hotel ya Bwawani iliyopo Visiwani humo ambapo mastaa mbalimbali wa filamu walijumuika kumpa tafu mwenzao.
CHANZO CHA HABARI: http://www.globalpublishers.info
0 comments:
Post a Comment