Mwenyekiti
wa kamati ya Tuzo za wanamichezo bora Tanzania zinazoandaliwa na Chama
cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) Masoud Sanani
akitaja majina ya wanamichezo watakaochuana mwaka huu.Kulia ni Katibu
Mkuu wa Taswa, Amir Mhando(Picha kwa hisani ya FULLSHANGWE BLOG)
MAJINA
YA WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO YA WANAMICHEZO BORA MWAKA
2011/MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2011, ITAKAYOFANYIKA JUNI 14
MWAKA HUU
KIKAPU:
WANAWAKE
DORITHA MBUNDA :-JKT QUEENS
EVODIA KAZINJA:-JKT QUEENS
FARAJA MALAKI:-JESHI STARS
WANAUME
ALPHA KISUSI-Vijana
FILBERT MWAIPUNGU:-ABC
GILBERT BATUNGI:-ABC
NETIBOLI:
LILIAN SYLIDION
DORITHA MBUNDA
GOFU
WANAWAKE:
Madina Iddi (Umri miaka 27)
Hawa Wanyeche (Umri miaka 26)
Ayne Magombe (Umri miaka 24)
WANAUME:
Frank Roman
Nuru Mollel
Issac Anania
GOFU WA KULIPWA:
FADHILI SAIDI NKYA.
YASINI SALEHE
HASSANI KADIO
OLIMPIKI MAALUM
Ahmada Bakar
Amina Daud Simba-kisahani na tufe
Othman Ally Othman-mkuki, kisahani na tufe.
PARALIMPIKI
WANAUME
ZAHARANI MWENEMTI
JOSEPH NZIKU
YOHANA MWILA
WANAWAKE
FAUDHIA CHAFUMBWE
SIWEMA KILYENYI
JANETH MADISE
NGUMI ZA RIDHAA
SULEIMAN SALUM KIDUNDA
VICTOR NJAITI
ABDALAH KASSIM
WAOGELEAJI
(WANAWAKE)
MAGDALENA MOSHI
GOURI KOTECHA
MARIAM FOUM
WANAUME
AMMAAR GHADIYALI
OMARI ABDALLAH
JUDO...
MBAROUK SELEMANI MBAROUK
UNDER 81KG MEN JUDO PLAYER
MOHAMED KHAMIS JUMA
OVER 90KG MEN JUDO PLAYER
AZZAN HUSSEIN KHAMIS
UNDER 60KG Judo player
WAVU…
WANAWAKE
ZUHURA HASSAN-JESHI STARS
THERESIA Ojode -JESHI STARS DAR
EVERLYNE ALBERT- MAGEREZA
WANAUME
MBWANA ALLY- MZINGA CORPORATION - MOROGORO
KEVIN PETER -MAGEREZA – DAR
FARHAN ABUBAKAR- MAFUNZO ZNZ
NGUMI ZA KULIPWA
Benson Mwakyembe
Nasibu Ramadhan
Francis Cheka
Nassib Ramadhan
Fadhil Majia
TENISI:
WANAUME
WAZIRI SALUMU
OMARY ABDALAH
HASSANI KASSIMU
WANAWAKE
REHEMA ATHUMANI
MKUNDE IDDY
VIOLET PETER
BAISKELI
Wanawake
Sophia Hussein
Sophia Anderson
WANAUME:
Richard Laizer
Hamisi Hussein
WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE
Henry Joseph-Soka
Mbwana Samatta-Soka
Sophia Mwasikili-Soka
MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
Theresia Ojode- wavu (Jeshi Stars)
SHOMARI KAPOMBE- (soka) SIMBA
Salum Abubakari-Azam (soka)
MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
Haruna Niyonzima-Yanga (soka)
Kipre Tchetche-Azam (soka)
Emmanuel Okwi-Simba (soka).
SOKA (WANAWAKE)
Asha Rashid-Mburahati Queens
Mwanahamisi Omary-Mburahati Queens
Fatuma Mustapha-Sayari
Ito Mlenzi-JKT
WANAUME
John Bocco-Azam
Aggrey Morris-Azam
Juma Kaseja-Simba
RIADHA
WANAWAKE
Zakia Mrisho
Mary Naali
Jaqueline Sakila
WANAUME
Dickson Marwa
Alphonce Felix
MIKONO
WANAWAKE
Abinery Kusencha-JKT Ruvu
Kazad Mtong-Magereza Kiwira
Faraji Shaibu Khamis-Nyuki Zbar
WANAUME:
Doris Mangara-Magereza Kiwira
Zakia Seif-Ngome Dar
Mary Kimiti-Magereza Kiwira.
KRIKETI
WANAWAKE
MoniCa Pascal
Asha Daudi
Esther Wallace
WANAUME
Kassimu Nassoro
Benson Mwita
Riziki Kiseto
TUZO YA HESHIMA-ITATANGAZWA SIKU HIYO
MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA 2011-ATAPATIKANA MIONGONI MWA WASHINDI WA KILA MCHEZO.
MASOUD SANAN-MWENYEKITI KAMATI YATUZO
08/06/2012
0 comments:
Post a Comment