Baada ya juzi kushuhudia timu ya AZAM FC kutinga fainali kwa kuichakaza AS VILA kwa mabao mawili kwa moja na mabao hayo yakiwekwa kambani na washambuliaji hatari wa azam JOHN BOCCO pamoja na MRISHO NGASSA vilevile kushuhudia YANGA kuingia fainali ya mashindano hayo kwa kuifunga APR kwa bao moja ambalo liliwekwa wavuni na HAMIS KIIZA.
Mshindi wa tatu wa mashindano hayo tutapata kuona APR vs AS VILA ambapo itaanza mida ya saa NANE MCHANA baada ya hapo tutashuhudia fainali ambayo itaanza saa KUMI JIONI katika uwanja wa taifa YANGA vs AZAM FC.
KIKOSI CHA WATOTO WA CHANZI(AZAM FC)
0 comments:
Post a Comment