Ni mipango ya mungu kukuweka hai hadi sasa kwani anajua unamchango gani katika jamii.Umri uliofika ni dhahiri kabisa jamii inafaidika na mchango pamoja na mawazo kiujumla.Huna budi kuendelea kutenda mema na kutunza heshima yako uliojijengea toka hapo mwanzo.
HABARI za UDAKU BLOGSPOT pamoja na wadau wake wote wanakutakia furaha na amani katika MAISHA YAKO YA HAPA DUNIANI.
0 comments:
Post a Comment