Thursday, August 9, 2012

TAKLIBANI BILION 1.5 ZATUMIKA KUJENGA NYUMBA YA SPIKA WA BUNGE.


Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya
Uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs 1.5 Billion na imejengwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine