Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame",
iliyoko maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim
akitahadharishwa na msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa
wanamzungumzia kwa kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika
moja ya baa zilizoko Sinza inayopitwa Shkamoo pesa bar
"ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria
mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim,
kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters
wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana
hawajui how well am prepared......."
wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije
wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna
jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako
anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wema
chanzo cha habari: www.djfetty.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment