Tuesday, February 26, 2013

UHABA WA MAJI DAR,WANANCHI KIBAMBA WALAZIMIKA KUYACHIMBA MAJI KATIKA MTO ULIO KAUKA!


 ENEO HILI KAMA LINAVYO ONEKANA KAVU ULIKUWA NI MTO AMBAO KWA SASA UMEKAUKA LAKINI UKICHIMBA CHINI KIDOGO UNAPATA MAJI YA AMBAYO SI YA CHUMVI.
 HILI NI MOJA YA ENEO AMBALO WAKAZI WA ENEO HILI WAMECHIMBA NA KUCHOTA MAJI MPAKA YEMEKWISHA
 HUU NI MMOMONYOKO WA UDONGO AMBAO UMESABABISHWA NA MVUA KUBWA AMBAYO ILINYESHA
HAYA NI BAADHI YA MACHIMBO YA MAJI AMBAYO WANANCHI WA ENEO HILI LA KIBAMBA WANATUMIA KWA AJILI YA MAMBOYAO MBALIMBALI

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine