PICHA HAPO CHINI : Husna Maulid akionyesha umahiri wake wa kucheza muziki wa Congo
WAREMBO 13 ambao siku ya Jumamosi ijayo watawania taji la Miss Kinondoni, usiku wa kuamkia leo walichuana kuwania taji la Mrembo Mwenye Kipaji. Mchuano huo ulifanyika Giraffe Ocean View Hotel iliyopo Kunduchi ufukweni mwa Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.
PICHA HAPO JUU : WAREMBO WALIO FANIKIWA KUINGIA KWENYE TANO BORA
0 comments:
Post a Comment