Wednesday, July 20, 2011

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE HARUSI YA DIDA.


AKIKATA KEKI BILA SHAKA NA MUME.

MZEE YUSUPH AKIWABURUDISHA WAGENI NA WAALIKWA KWENYE SHUGHULI HIYO.

ISHA MASHAUZI AKITOA BURUDANI NA BAND YAKE KWENYE HARUSI HIYO YA DIDA.

WAALIKWA NA WAGENI WAKIYARUDI KWA SHANGWE ZOTE.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine