Benny Kisaka akihesabu sehemu ya pesa zinazotarajiwa kutolewa zawadi kwa washiriki hao.
MKURUGENZI wa BMP Promotions inayoratibu Shindano la Miss Temeke, Benny Kisaka, leo amesema mrembo atakayeibuka na Taji la Miss Temeke katika mpambano unaotarajiwa kufanyika Jumamosi ijayo ndani ya Ukumbi wa TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam, atazawadiwa kitita cha shilingi milioni mbili.Kisaka ametoa ahadi hiyo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment