Thursday, August 25, 2011

BUNGE LAWAKA MOTO



Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe aliyewasilisha hoja bungeni  jana kuhusu kurejeshwa kazini Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo. 
BUNGE jana lilisitisha kwa muda shughuli zake za kawaida kujadili hatua ya Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo kumrejesha kazini Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo kabla ya Bunge kujadili Ripoti ya uchunguzi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine