Miss Africa 2004 Cynthia Kanema (aliyebeba mtoto kushoto) na mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale wakimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw.Albert Makoe akifafanua jambo katika makabithiano wa msaada wa vyakula mbalimbali kwenye kituo hicho jana.
0 comments:
Post a Comment