Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo.
ASEMA NI KAWAIDA IDARA HUSIKA KUCHANGA FEDHA KUISAIDIA KUFANIKISHA JAMBO, AONYA WATUMISHI WALIOTOA SIRI
IKULU imemrejesha kazini Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo baada ya uchunguzi wa tuhuma dhidi yake za kutenga mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kuhonga wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara hiyo, kubainika kuwa si za kweli.Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo alitangaza uamuzi huo katika mkutano wake na waandishi uliofanyika Ikulu Dar es salaam jana akisema JAIRO hana hatia na leo anapaswa kurejea kazini mara moja.
0 comments:
Post a Comment