Mchezaji maarufu wa mpira wa Kikapu duniani, Dwight Howard akiwa na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akimuonyesha sanamu la simba nyota huyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Dwight Howard ni mchezaji nyota wa timu ya kikapu ya Orlando Magic ya nchini Marekani.
Tuesday, August 23, 2011
DWIGHT HOWARD ATUA IKULU
8/23/2011 06:37:00 PM
Unknown
No comments
0 comments:
Post a Comment