Monday, August 22, 2011

MBWANA SAMATTA MA TRESOR MPUTU WAIFUNGIA TP MAZEMBE.



Mbwana Samatta hapo jana aliifungia TP Mazembe goli la kwanza katika ushindi wa mabao 3-0 wa TP Mazembe dhidi Don Bosco.

Samata alifunga bao dakika ya 15 mbele ya mashabiki zaidi ya 20,000 kabla ya nyota wa klabu hiyo Tresor Mputu Mabi kufunga goli la pili katika dakika ya 20. huku bao la tatu likiwekwa kambani na Joel Kimwaki. 

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine