Monday, November 7, 2011

BAADA YA KUIBANIA SHOW YA VINEGA,SASA ANTIVIRUS SHOW KUFANYIKA TAREHE 26.

Ile show ya vinega iliyokuwa ifanyike pale viwanja vya Posta tarehe 5 mwezi huu imesogezwa mbele hadi tarehe 26 mwezi huu baada ya wanachokiita wanga kuzingua(kubana) kutoa uwanja uliotegemewa kufanyika kwa show hiyo. NANUKUU POST YA SUGU: Tumepeleka mbele concert ya antivirus toka tarehe 5 novemba na sasa itafanyika tarehe 26 novemba kwenye viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii Kijitonyama.Hii ni kutokana na wanga kutubania uwanja wa Posta ambako ndo tulipanga kufanya concert
hii awali na ilikuwa lazima ifanyike kwenye kwenye venue ya nje kwa kuwa tunatumia big stage,big sound with too many light on!! MWISHO WA KUNUKUU. Kiingilio ni sh.5000.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine