skip to main |
skip to sidebar

11/07/2011 04:28:00 PM

Unknown
No comments
WEMA SEPETU ATAJA MAPATO YAKE YA KAZI YA SANAA KWA MIAKA 3.
Mwanadada anayeuza sana kwenye filamu nyingi za hapa Tanzania anayejulikana kwa jina la Wema Sepetu mapema wiki hii amefunguka na kuweka bayana mapato yake anayoyapata kutoka kwenye kazi zake za sanaa ya maigizo ya filamu hapa Tanzania.Msanii huyo ambaye ameweka wazi hata idadi ya filamu alizoshiriki toka aanze sanaa hiyo mwaka 2008 mpaka sasa kwamba ameshaigiza filamu zipatazo kumi na kusema kuwa hadi alipofika amekusanya milioni 25 kutoka kwenye kazi hiyo.Haya sasa kazi kwenu nyie wasanii mnaoficha vipato vyenu.
0 comments:
Post a Comment