![](//3.bp.blogspot.com/-gU5y-gXbEI8/Ts1y28QunJI/AAAAAAAAAag/UkoEMGuzC-4/s1600/LINA.jpg)
Msanii anayetokea kwenye jumba la vipaji Tanzania (Linnah) ambaye anatamba na nyimbo nyingi ikiwemo bora nikimbie,hivi sasa inasemekana kwamba anatoka na prodyuza maarufu hapa nchini kutoka lebo ya B Hits anayefahamika kwa jina maarufu la Pancho,wawili hao wameonekana kuwa karibu sana kwenye kipindi cha hivi karibuni na kuibua hisia tofauti kwa baadhi ya watu na mashabiki wa mastaa hao,! Lakini alipotafutwa Pancho kuzungumzia
swala hilo,alikana katukatu kwamba wao hawana mahusiano ya kimapenzi huku akimsifia Linnah kuwa ni msichana mzuri sana.
0 comments:
Post a Comment