Tuesday, November 29, 2011

SHILOLE:KUTOKA BONGO MOVIE HADI KWENYE MUZIKI,!!




Mwanadada anayeng'ara kunako tasnia ya filamu hapa nchini Zuwena Mohammed a.k.a Shilole ameanza rasmi kazi ya uimbaji wa muziki wa bongofleva kwenye miondoko ya mduara.Akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini msanii huyo amesema kuwa tayari amesharekodi nyimbo moja inayoitwa MAJIRANI LAWAMA na amewashirikisha wasanii wenzake wa Bongo movie,pia alisema kuwa tayari nyimbo hiyo ameshaitengenezea video na muda si mrefu ataiachia hewani ikiwa kwenye mahazi ya mduara.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine