(MZUNGUKO WA KWANZA WA LIGI KUU YA VODACOM UMEMALIZIKA HIVI KARIBUNI, KOCHA MAHILI HAPA NCHINI KENNY MWAISABULA ( MZAZI ) AMEKITAJA KIKOSI CHA WACHEZAJI WALIOFANYA VIZURI KWENYE HUO MZUNGUKO WA KWANZA.)
1- Mwadini mwalimu [Azam]
2- Hamis Mapande [JKT]
3- Waziri Ally [Azamu]
4- Shabani Aboma [Afikan Lyon]
5- Juma Nyoso [Simba]
6- Ibrahimu Masawe [Polisi ]
7- Nurdin Bakari [Yanga]
8- Haruna Niyonzima [Yanga]
9- Said Rashid [Mtibwa]
10- Haruna Moshi [Simba]
11- Ramadhani Chombo[Azam]
RESERVES
12- Juma Kaseja [simba]
13- Mohamedy Binsulum [villa]
14- Sabri Ramadhani [Coastal]
15- Shaban Ibrahimu[Ruvu]
16- Malegesi Mwangwa [Kagera]
17- Mohamedy Soud [Toto]
18- Andrew Basembe[Moro]
19- Ally Hamza [Oljoro]
20- Sunday Mussa [oljoro]
Hao ni wachezaji ambao binafsi niliona wanastahili kuwepo katika kikosi cha TAIFA STARS hawa ndo wachezaji waliocheza kwa kiwango kizuri mno na ushahidi pia utaupata TFF kupita kwa wataalamu wao, Wengi wa wachezaji hawa wamekuwa kwenye tuzo za wachezaji bora wa mwezi na hilo ndo uthibitisho kuwa ni wazuri
0 comments:
Post a Comment