Thursday, December 1, 2011

Thea: Sitaki tumbo langu lionekane




MSANII wa filamu Bongo, Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ (pichani) anayedaiwa kuwa ni mjamzito, juzikati alikuwa akijificha  asipigwe picha na paparazi wetu kuhofia kuonekana kwa mimba yake.

Msanii huyo aligoma kupigwa picha akiwa amesimama huku akikwepa kuonekana kwa tumbo lake.

“Sitaki tumbo langu lionekane na sipendi watu wajue kama nina mimba au la, ila Watanzania watarajie mtoto haraka…

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine