skip to main |
skip to sidebar

12/01/2011 08:08:00 AM

Unknown
No comments
ZIKIWA zimekatika siku kadhaa tangu mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ (pichani) alazwe nchini Ufaransa akisumbuliwa na ugonjwa aliouita wa ‘heri’, tumbo lake limeonekana kuwa kubwa zaidi na kufanya minong’ono kwamba tayari ni mjamzito.
0 comments:
Post a Comment