Saturday, March 31, 2012

ALICHOKIFANYA DIAMOND KWA WEMA SEPETU KWENYE SHOW YA DIAMONDS ARE FOREVER, USHAHIDI WA PICHA NDIO HUU!


Wema Sepetu alikuepo pia na Rommy Jones.

Diamond akiwa na mama mzazi na Queen Darling kwenye red carpet.


Ommy Dimpoz alikuepo kumpa taf kwenye stage, hapa alikua anazungumzia historia ya walikotoka yeye na Diamond, Diamond akashindwa kuvumilia machozi yakawa yanamtoka, Amini, Barnaba na Ditto ni miongoni mwa wakali waliompa kampan Diamond.

Diamond on stage.

.

.

Sehemu ya walikwenda kuenjoy.

.

Diamond akiperfom na band ya Odama.

Wema Sepetu aliamuka na kwenda kumtunza Diamond lakini mshkaji alikataa kabisa kuichukua hiyo pesa na kujikausha kama hajamuona.

Ligi inaendelea.... msimamo ule ule!

Bado tu.......

Baada ya Diamond kukataa kupokea hizo pesa za Wema, mrembo huyo aliamua kuzitupa chini kwenye stage.... ndio hizo!

Akaondoka zake.

Baada ya kurudi kukaa Wema alianza kulia

Mc Taji Liundi akimbembeleza Diamond ili aende nae kwa Wema lakini alikataa. 

  Picha zimetoka djchoka.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine