Kocha wa zamani wa Brazil Carlos Caetano Bledorn Verri (Dunga) mwenye umri wa miaka 48, amewea wazi kiwango cha pesa anachohitaji kulipwa kuifundisha timu ya taifa ya GHANA.
Dunga amesema anataka kulipwa dola za kimarekani elfu 50 kwa mwezi, mkwanja ambao ni sawa na milioni 77 na laki 5 za kitanzania.
Kupitia OMG, Dunga Ameamplfy kwamba kwa mshahara huo, ana uhakika ataiwezesha Ghana kucheza kombe lijalo la dunia.
0 comments:
Post a Comment