skip to main |
skip to sidebar

5/13/2012 07:29:00 PM

Unknown
No comments
Tp Mazembe ya jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo imefanikiwa kuingia hatua ya makundi ya kombe la klabu bingwa
barani Afrika kwa jumla ya mabao 3-1. Mazembe hapo jana usiku ilitoka
sare ya bao 1:1 na El Merrekh ya Sudan kwenye mchezo wa marudiano baada
ya ushindi wa mabao 2:0 mjini Lubumbashi majuma mawili yaliyopita.
Mbwana Samatta akijaribu kumtoka beki wa El Merrekh ya Sudan hapo jana Usiku.
Mshambuliaji TP MAZEMBE raia wa Zambia Given Singuluma akichanja mbuga...
RAINFORD KALABA......
0 comments:
Post a Comment