Wednesday, October 10, 2012

Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki watembelea Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo


Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahunda Achentahka (kulia) wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kituo cha Habari cha Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wakati  walipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine