Aliyekuwa Kibosile wa Benki Kuu ya Tanzania 'BOT', Amatus Liyumba ameachiwa huru jana majira ya saa 4: 45 asubuhi, baada ya kukamilisha kifungo chake cha miaka miwili alichokuwa akikitumikia katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam akidaiwa kutumia vibaya mali ya Umma juu ya ujenzi wa magorofa pacha ya Benki hiyo yaliyopo Posta jijini, Dar. Kuhusu kesi yake ya kukutwa na simu, imetupwa kapuni.
0 comments:
Post a Comment