Friday, October 14, 2011

WANACHUO WA TEKU MBEYA WAANDAMANA KUDAI MKOPO

Wananachuo hao wakielekea ofisi ya mkuu wa mkoa Mbeya.

WANACHUO wanaosoma katika Chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU) kinachomilikiwa na Kanisala la Moravian Tanzania, kilichopo Jijini Mbeya, jana waliandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kueleza  yanayowapata baada ya kukosa mikopo yao.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine