
Manchester United wapo karibuni kumsajili winga wa Juventus Milos Klasic ili kuimarisha kikosi chao kilichoandamwa na majeruhi ya kutisha.
Sir Alex Ferguson amewapoteza tayari Darren Fletcher, Nemanja Vidic, Tom Cleverley , Micheal Owen and Javier Hernandez.
Hivyo Fergie anataka kumsaini unsettled Krasic kwa mkopo katika dirisha dogo January linaripoti Daily Mirror.
Timu nyingine ambazo zinamtaka Krasic ni AC Milan na Chelsea.
0 comments:
Post a Comment