Msanii wa siku nyingi kwenye sanaa ya maigizo hapa Tanzania anayefahamika kwa jina la Fundi Saidi maarufu kwa jina la Mzee Kipara amefariki dunia mapema leo majira ya saa tatu asubuhi akiwa kwenye makao makuu ya kundi la sanaa la Kaole jijini Dar es salaam.Mzee Kipara ambaye alikuwa akisumbuliwa na matatizo mbalimbali na hatimaye kukutwa na mauti,mwili wake umehifadhiwa kwenye hospitali ya mwananyamala
na mazishi yanatarajiwa kufanyika
tarehe 12 mwezi huu.Mzee Kipara alitamba na maigizo kwenye vipindi vya radio ikiwemo radio Tanzania na kupitia luninga hasa kwenye kituo cha ITV akiwa na kundi la Kaole.

0 comments:
Post a Comment